HUYU NDIYE ALIYEKAMATWA KWA KUHACK NAMBA ZA SIMU ZA FID Q NA AY==>>NI MWANAFUNZI WA CHUO KIMOJA MAARUFU JIJINI DAR ES SALAAM


Ndani ya wiki hii moja ya story zilizokuwa kubwa Bongo ilikuwa ni story ya namba za simu za mastaa Fid Q na AY kuwa hacked na mtu asiyefahamika, halafu jamaa aliyehack akawa anatuma message kwa marafiki wa karibu wa mastaa hao na kuwaomba hela.
Muda mfupi uliopita, kupitia Instagram na Twitter, Fid Q na AY wameweka story ya kumkamata mtu aliyehusika kufanya uhalifu huo.


“Yule HACKER ndo huyu hapa.. Ni Mwanafunzi wa IFM.. Yuko mwaka wa pili Anaitwa AHMED….“–@fidq (Instagram)

“Huyu ndie aliyehack namba Yangu na Ya @FidQ na kuanza kutapeli watu ndio huyu,Anaitwa Ahmed anasoma IFM 2nd Year”– @AyTanzania (Twitter)
HUYU NDIYE ALIYEKAMATWA KWA KUHACK NAMBA ZA SIMU ZA FID Q NA AY==>>NI MWANAFUNZI WA CHUO KIMOJA MAARUFU JIJINI DAR ES SALAAM HUYU NDIYE ALIYEKAMATWA KWA KUHACK NAMBA ZA SIMU ZA FID Q NA AY==>>NI MWANAFUNZI WA CHUO KIMOJA MAARUFU JIJINI DAR ES SALAAM Reviewed by Unknown on 1:50:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.