BAADA YA KUTEMWA NA DIAMOND, WEMA SEPETU AFANYA SHOW YA FUNGA MWAKA AKIWA NA WASANII WAKE WAPYA

Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye'  akiongea na mashabiki wake (hawapo pichani) waliofika katika shoo yake ya funga mwaka usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Matei Lounge Dodoma.
Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza Ukumbi wa Matei Lounge Dodoma.
Msanii wa Bongo Fleva anayesimamiwa na Wema Sepetu kupitia Endless Fame 'Mirror' akifanya yake.
Wema  Sepetu (katikati)  akicheza na wasanii wake.
Mmoja wa wasanii chipukizi (kushoto) wa Dodoma akiongea na Wema wakati wa kusaka vipaji.
Staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel akiwa amemshika mkono Petit Man (kulia) ambaye ni mfanyakazi wa Wema Sepetu.
(PICHA;  MUSA MATEJA/GPL)
BAADA YA KUTEMWA NA DIAMOND, WEMA SEPETU AFANYA SHOW YA FUNGA MWAKA AKIWA NA WASANII WAKE WAPYA BAADA YA KUTEMWA NA DIAMOND, WEMA SEPETU AFANYA SHOW YA FUNGA MWAKA AKIWA NA WASANII WAKE WAPYA Reviewed by Unknown on 12:33:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.