
Katika mahojiano hayo AY amemsifia Amani kwa kusema kuwa katika miaka mitatu ya uhusiano wao, Amani alimfundisha jinsi wanawake wa Kenya walivyo na misimamo iliyonyooka katika mambo yao, na kuongeza kuwa Amani hakuwahi kuchanganya biashara na starehe.
“During the three years we dated, Amani showed me how Kenyan women are the most straight-forward in the world. Not one time did she ever mix business with pleasure,” Alisema AY
Source: SDE
AY AZIWEKA WAZI HADHARANI SIFA ZA MPENZI WAKE WA ZAMANI AMANI WA KENYA
Reviewed by Unknown
on
1:19:00 PM
Rating:
