ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM

Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kwa kusapoti ngoma zake ikiwemo Mwana Dsm ambayo aliitoa mwaka jana lakini kutoka na sapoti

kubwa ya mashabiki hadi leo inafanya vyema kwenye vituo mbalimbali vya redio na tv.
Ali Kiba amewashukuru mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram na kuandikia hivi… Shout outs na shukurani nyingi sana kwa support yenu- kurequest nyimbo zangu kwenye redio na TV na comments zenu on social media zangu. Nawaona wote sema siwezi kuwajibu moja moja lakini kiukweli nashukuru sana. Ijumaa Kareem……
ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM ALI KIBA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUISAPOTI MWANA DSM Reviewed by Unknown on 11:34:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.