ZARI NA DIAMOND MGUU KWA MGUU , MBONA HAIKUWA HIVYO KWA WEMA SEPETU

KATIKA mambo yanawaacha hoi wapenzi wa pea ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu ‘Madam’ ni ukaribu uliopo hivi sasa kati ya Zarina Hassan maarufu kama Zari ‘ The Boss Lady’ na nyota huyo wa muziki Afrika kwa sasa.

Zari ambaye alianza kuonekana na mkali huyo katika utolewaji wa tuzo za Channel O mwezi Novemba, amekuwa akimsindikiza Diamond katika kila shoo anayokwenda hivi sasa, ukilinganisha na ilivyokuwa kwa mpenzi wake wa siku nyingi Wema Sepetu kitu ambacho kimeleta maswali mengi kichwani kwa watu kama kweli alikuwa akimpenda kwa Dhati .

Je wewe una maoni gani juu ya Hilo Swala?

ZARI NA DIAMOND MGUU KWA MGUU , MBONA HAIKUWA HIVYO KWA WEMA SEPETU ZARI NA DIAMOND MGUU KWA MGUU , MBONA HAIKUWA HIVYO KWA WEMA SEPETU Reviewed by Unknown on 1:03:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.