Mitandao ya kijamii inaendelea kuleta bifu baina ya mastaa na safari hii ni zamu ya mpenzi wake na Daimond Platnumz, Zari The Boss Lady pamoja na aliyewahi kuwa mpenzi wake wa zamani anayejulikana kama Lawrence Muyanja ama King Lawrence kwenye instagram.
Kisa cha bifu lao ni baada ya King Lawrence kupost video ya whatsapp akiwa na gari aina ya Audi Q7 SUV akiwa na mtoto wa zari wa kiume ndani ya South Africa na aliandika hivi
“Chilling with Zari’s son because his mom is d*ck hopping all over Africa. It’s the son’s birthday.”
Zari ambaye karibu na mpenzi wake Diamond Platnumz kwenye show mbali mbali zinaezoendelea katika bara la Afrika akimsindikiza baada ya kuona masage hiyo Zari alipaniki na kuja kwenye facebook na kuanza kufungua maneno kibao kana hivi
MPENZI WA ZAMANI WA ZARI AFUNGUKA MAZITO>>> AMTAKA "ZARI" KUACHA KUTEMBEA NA "DIAMOND PLATNUM" NA KUJA KULEA WATOTO WAKE, TAZAMA ALICHO POST ZARI KUMJIBU
Reviewed by
Unknown
on
11:05:00 PM
Rating:
5