KALI YA MWAKA>>>JB NA ZEMBWELA ASHINDANA KULA UGALI KUKU, JIONEE HAPA

Ni kweli mwili haujengwi kwa matofali lakini hii ya JB na Zembwela  Mh!!!.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, JB aliweka picha hiyo ya kwanza, akiwa na Zembwela wakiwa wanaanza kula, na badaye kuweka hiyo ya pili wakiwa wamesha maliza kula.
Picha zote hizi zilifanya watu wengi wafunguke kwa kuachia –comment zakutosha zenye mitazamo tofauti.
Wapo watu wamechukilia kuwa ni kamwaida lakini wapo walioichukulia kuwa hii  ni zaidi  kula, kwani huo msosi ungeweza kuliwa na watu zaidi ya hata wanne
Wengi walionyesha kushangaa  na kusema kwa mwili wa JB hata mbuzi anaweza kummaliza hapo ndipo  JB aliibuka na kusema  “Acheni majungu kula sio mwili ni spidi yako tu...
Unaneno la kuongea hapa? hebu tuambie!!
KALI YA MWAKA>>>JB NA ZEMBWELA ASHINDANA KULA UGALI KUKU, JIONEE HAPA KALI YA MWAKA>>>JB NA ZEMBWELA ASHINDANA KULA UGALI KUKU, JIONEE HAPA Reviewed by Unknown on 6:19:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.