Kweli Mrembo na Mwigizaji Jack Wolper ni
Stylish Kama Anavojiita kwenye ukurasa wake wa Instagram, Hivi Karibuni
amepost picha akionyesha nguo ya ndani aina ya sidiria na Kuandika
Maneno haya Hapa chini:
"People will stare .Make it Worth Their While baby. he love'z My style"
Baadhi ya Comments Katika Picha Hiyo hizi Hapa:
amani_john
kunakipindi ulikuaga unavaa vzuri cjui,sijui kwa nn umeacha kuvaa vle..
abeljy
Sweatyyy;!!!!!ee bwana we ni mzuri tuache tu unfiki
love_lucie_crazzy_baby911
Hapo sasa ..!! Me love thiss style ..! Big up kwako @wolperstylish

JACK WOLPER AONYESHA NGUO YAKE YA NDANI SIDIRIA NA KUANDIKA"HE LOVES'Z MY STYLE"
Reviewed by Unknown
on
12:45:00 AM
Rating: