WOLPER AMCHANA MAKAVU LIVE, "BIDADA" ANAETUMIA JINA LAKE PICHA NA SAUTI YAKE KUTAPELI WATU


Dunia ya Utandawazi, watu wanavipaji jamani!!!!. Wolper amempasha huyu kama ifuatavyo;

why why why unanichafulia jina we shuwainiiii mpumbavu mmoja maana kama unajua paka napokaa inamaana utakua ata insta uona kila kitu Mungu niokoe nilichokipanga kisifanikiwe nikakukamata mikononi mwangu nitafungwa kifungo cha maisha.. Alafu unaweka na picha yangu whatsup na sauti unageza yani sauti yangu kabisa muawaji mkubwa wewe fisi ,mende,peremende.Mungu akulaani wewe na kizazi chako tena kizazi chako mwanao mmoja aje kua star naafanyiwe kma unayonifanyia,Mungu akupofue macho na vidole vikatike ushindwe kudanganya watu nakula ela zao kwakuwatongoza nakujidai unashida.mfyuuuuuu” –Wolper aliyaandika hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Kaa chonjo,tabia hii sio nzuri,tubadilikeni jamani.Pole sana Wolper
WOLPER AMCHANA MAKAVU LIVE, "BIDADA" ANAETUMIA JINA LAKE PICHA NA SAUTI YAKE KUTAPELI WATU WOLPER AMCHANA MAKAVU LIVE, "BIDADA" ANAETUMIA JINA LAKE PICHA NA SAUTI YAKE KUTAPELI WATU Reviewed by Unknown on 9:50:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.