Wasanii wa Africa walipata nafasi yakutoa burudani katika tuzo hizo za GloCafAwards kama Uhuru Mr lavour Uhuru ,soweto gospel choir na wengineo Lakini Watu Waliguswa na Nyimbo ya diamond mdogo My Number one remix ambayo Plutnmz alionyesha uwezo wakuimba ubeti wa Davido Wote Bila yakufwata Cd Back Play nakufanya vizuri
P square walifanikiwa kuwa kosha masbabiki baada ya kuimba nyimbo mbili Test MOney Na Ejajo
VIDEO>>> DIAMOND NA P SQUARE WATEKA MASHABIKI JANA HUKO NIGERIA, JIONEE MWENYEWE
Reviewed by Unknown
on
8:26:00 AM
Rating: