SOMA HAPA KAULI YA "NEY WA MITEGO" BAADA YA NIKKI MBISHI KUTANGAZA KUACHA GEMU


Kupitia exclusive interview na Power Jams, Ney wa Mitego amezungumzia hatua ya Nikki Mbishi ya kuacha muziki nakusema “Ukiona kitu hakikulipi ni bora uachane nacho, mtu anaweza kuangalia kitu na kujua hakimfai na bora afanye mambo mengine ”

Ney aliendelea kusema ” Sijui kwanini amechelewa, nimefurahi kuona maamuzi mazuri kijana mwenzangu aliyofanya, amejitambua na kuamua kuangalia vitu vingine, niko tayari kumshauri kama bado hajapata cha kufanya” .
SOMA HAPA KAULI YA "NEY WA MITEGO" BAADA YA NIKKI MBISHI KUTANGAZA KUACHA GEMU SOMA HAPA KAULI YA "NEY WA MITEGO"  BAADA YA NIKKI MBISHI KUTANGAZA KUACHA GEMU Reviewed by Unknown on 9:34:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.