KUMEKUCHA BONGO MOVIE...!!!! RIYAMA NA SHAMSA VS JOTI NA KITALE, UPI UTAKUWA MZIGO MKALI??


Haya tena wadau wa sinema za kibongo, wakali hawa wakiamua kutengeneza kazi ambayo moja iwe ya Riyama pamoja na Shamsa Ford “Chausiku” na nyingine iwe ya Joti Mdebwedo akiwa na Kitale aka Mkudesimba.
Mimi naamini kazi zote hizo mbili zitakuwa hatareee, kwa mtazamo wako ipi kati ya hizi mbili (Riyama na Shamsa VS (Joti na Kitale) unadhani itakuwa kali zaidi
KUMEKUCHA BONGO MOVIE...!!!! RIYAMA NA SHAMSA VS JOTI NA KITALE, UPI UTAKUWA MZIGO MKALI?? KUMEKUCHA BONGO MOVIE...!!!! RIYAMA NA SHAMSA VS JOTI NA KITALE, UPI UTAKUWA MZIGO MKALI?? Reviewed by Unknown on 10:21:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.