Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu.
King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo.
Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.
Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha ‘shoga’ huku Zari akijibu pia mapigo kwa kuandika:
“Ma dude needs to wife that lil b***h too…. that gay-eish thing of yours is not on point….. Baby daddy failed to wife you all this time u been fighting his battles, you think D will? . So it’s true, when they see you happy, they start hating more huh?”
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
Reviewed by Unknown
on
11:33:00 AM
Rating: