WAKATI baadhi ya wasanii wa hapa jijini, Dar wakifa huzikwa hapahapa, jambo hilo limekuwa ni tofauti kwa nyota wa filamu na muziki, Baby Madaha baada ya kufunguka kuwa akitokea amekufa hataki kuzikwa Dar na badala yake azikiwe jijini, Mwanza.
BABY MADAHA AJITABIRIA KIFO>>> ASEMA AKIFA AZIKWE DAR
Reviewed by Unknown
on
12:25:00 AM
Rating: