Usiku wa kuamkia May 6 2016 Paka Rapa Young Dee alipost picha akiwa anavuta kitu ambacho mashabiki wake kwenye mtandao wa instagram walitafsiri ni bangi na kuanza kumporomosshea comments kuwa anaelekea kuwa kama Chidi Benz,
Je Young hapa alikuwa anavuta bangi ? na kama ni bangi ni sawa kwa msanii kufanya hivi bongo kama tunavyoona nje kwa kina Wiz Khalifa.
Je Young hapa alikuwa anavuta bangi ? na kama ni bangi ni sawa kwa msanii kufanya hivi bongo kama tunavyoona nje kwa kina Wiz Khalifa.
MSANII YOUNG DEE AYAOGA MATUSI BAADA YA KUPOST PICHA AKIVUTA BANGI...
Reviewed by Unknown
on
2:57:00 AM
Rating: