BREAKING NEWS..>>MWANAMUZIKI SNURA AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SANAA BAADA YA WIMBO WAKE WA "CHURA" KUONEKANA HAUNA MAADILI..TOA MAONI YAKO

Tamko hilo limekuja mara baada ya TCRA, BASATA na Wizara ya habari, Bodi ya filamu kukaa na Bi Snura kwa kubaini kuwa wimbo una maudhui ya udhalilishaji , ukiukwaji wa haki za binadamu na tamaduni ya kitanzania.

Msanii amefungiwa kufanya maonyesho ya wazi kwa sababu imebainika kwamba hana kibali kutoka Basata kinachomtambua kama msanii.

Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.

Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.
BREAKING NEWS..>>MWANAMUZIKI SNURA AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SANAA BAADA YA WIMBO WAKE WA "CHURA" KUONEKANA HAUNA MAADILI..TOA MAONI YAKO BREAKING NEWS..>>MWANAMUZIKI SNURA AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SANAA BAADA YA WIMBO WAKE WA "CHURA" KUONEKANA HAUNA MAADILI..TOA MAONI YAKO Reviewed by Unknown on 5:50:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.