Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kwa jina la Papa Wemba.Huu ni zaidi ya ufahari, lakini mimi naona hauna maana..