Mabibi na mabwana Diamond Platnumz anakualika kutazama video yake mpya, Utanipenda?



Mkali wa Bongo fleva ambaye amezoeleka kuchukua headlines na video zake kali kila siku Diamond Platnumz, jioni ya December 11 aliachia video yake mpya inakwenda kwa jina la Utanipenda? Hii ni video ambayo promo yake ilikuwa ya kipekee sana kwani baadhi ya watu wake wa karibu walianza kupost Instagram na kuuliza swali watu kama nikifanya hiki je utanipenda? Mzigo huo hapo unaweza cheki mtu wangu.

Mabibi na mabwana Diamond Platnumz anakualika kutazama video yake mpya, Utanipenda? Mabibi na mabwana Diamond Platnumz anakualika kutazama video yake mpya, Utanipenda? Reviewed by Unknown on 10:24:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.