Headlines za mshindi wa Bongo Star Search kushoot video ya kwanza South Afrika




Headlines za Bongo Fleva leo Dec 11 zinakwenda kwa mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2015, Kayumba ambaye kwasasa amekwenda nchini Afrika Kusini kuandaa video ya single mpya lakini bado haijajulikana atashoot na director gani.

Kupitia ukurasa wa instagram wa shindano hilo waliwataarifu mashabiki kuwa mshindi waBongo Star Search 2015 aliyeibuka kwa ushindi wa kitita cha milioni 50 kwenye msimu wa 8 anaelekea Afrika Kusini kushoot video yake ya kwanza.

.
Headlines za mshindi wa Bongo Star Search kushoot video ya kwanza South Afrika  Headlines za mshindi wa Bongo Star Search kushoot video ya kwanza South Afrika Reviewed by Unknown on 10:32:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.