Mambo Matatu Ambayo Diamond na Zari wameyasema kwenye Exclusive interview ya Clouds TV ndio Haya ikiwemo na la kupima Ngoma

1.Diamond anasema alikutana na Zari kwenye ndege wakati anatoka kushoot video ya Coco Baby aliyoshirikishwa na Waje

2.Diamondplatnumz anasema yeye na zarithebosslady wamepima na wapo safi!

3. Diamond anasema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu haujaisha
Mambo Matatu Ambayo Diamond na Zari wameyasema kwenye Exclusive interview ya Clouds TV ndio Haya ikiwemo na la kupima Ngoma Mambo Matatu Ambayo Diamond na Zari wameyasema kwenye Exclusive interview ya Clouds TV ndio Haya ikiwemo na la kupima Ngoma Reviewed by Unknown on 2:09:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.