Baba Diamond Asumbuliwa na Ugonjwa..Diamond Hajawahi Kwenda Kumjulia Hali..Amuomba Mwanawe Amsaidie Asisubiri Afe

Baba huyo wa Diamond Amedai kuwa Mtoto wake Diamond Hajawahi kumsaidia chochote kuhusu ugonjwa wake wala kwenda kumjulia hali japo alishatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa ameshamsamehe baba yake Mzazi..
Baba huyo amemtumia ujumbe Diamond na kumwambia kuwa Asisubiri afe ndio aende kumzikaanamuomba msaada sasa ili aweze kupata matibabu ya ugonjwa wa miguu unaomsumbua
Baba Diamond Asumbuliwa na Ugonjwa..Diamond Hajawahi Kwenda Kumjulia Hali..Amuomba Mwanawe Amsaidie Asisubiri Afe
Reviewed by Unknown
on
2:13:00 AM
Rating: