WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW WAPANDISHWA KIZIMBANI!!!


WATUHUMIWA watatu wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow wasomewa mashitaka leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam.



Watuhumiwa hao ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa benki ya Mkombozi, Julius Ruta, Ofisa Mwandamizi wa Tanesco, Steve Urasa na Leonard Lutabingwa wa TRA anayeshitakiwa kwa makosa manne.
WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW WAPANDISHWA KIZIMBANI!!! WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW WAPANDISHWA KIZIMBANI!!! Reviewed by Unknown on 9:17:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.