SIO SIRI TENA>>>AUNTY EZEKIEL NA MOSE IYOBO WADHIHIRISHA PENZI LAO




Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni.




Mara kadhaa msanii huyo wa Bongo Movie amekuwa akikana kuwa hana uhusiano na dansa huyo na kutoweka wazi mhusika wa ujauzito wake hivyo picha hiyo imeonyesha kuwa Mose Iyobo kuwa ni mhusika wa ujauzito huo.
SIO SIRI TENA>>>AUNTY EZEKIEL NA MOSE IYOBO WADHIHIRISHA PENZI LAO SIO SIRI TENA>>>AUNTY EZEKIEL NA MOSE IYOBO WADHIHIRISHA PENZI LAO Reviewed by Unknown on 10:12:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.