MSANII WOLPER AFUNGUKA MAZITO>>>ASEMA MWA KA 2015 NI MWAKA WA KUJIRUSHA NA KUISHI UTAKAVYO

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper” akionekana amekaa kochini akiwa na kinywaji mkononi, aliandika maneno haya mara baada ya kubandika picha hiyio hapo juu;

“ 2015 ni mwaka wakuish utakavyo na huu ni mwaka wakuishi watakavyo ..Kauli mbiu bwana nazikubali sana”


Hii kwako imekaaje?

Mie namuunga mkono kabisa nakusema haya hapa chini:
'You've gotta dance like there's nobody watching,
Love like you'll never be hurt,
Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth.'
MSANII WOLPER AFUNGUKA MAZITO>>>ASEMA MWA KA 2015 NI MWAKA WA KUJIRUSHA NA KUISHI UTAKAVYO MSANII WOLPER AFUNGUKA MAZITO>>>ASEMA MWA KA 2015 NI MWAKA WA KUJIRUSHA NA KUISHI UTAKAVYO Reviewed by Unknown on 11:06:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.