MAZITO YAIBUKA>>>DIAMOND PLATNUMZ AKATAA MILIONI MIA TANO ZA LOWASSA



DUUH HAYO SIO MANENO YANGU JAMANI , GAZETI LA VISA LIMEANDIKA KATIKA UKURASA WA MBELE MANENO HAYO KAMA INAVYOONYESHA


Limeandika "Wakati wanamuziki wenzake wakilia njaa na kuoza kwa unga , Diamond akataa 500 Mil za Lowassa, Aambiwa ni Pesa Maalum kwa kazi Maalum na atakuwa Maalum 2015,
Naye Ajibu : Hizo Pesa peleka makanisani , misikitini ..Inatosha sana"
MAZITO YAIBUKA>>>DIAMOND PLATNUMZ AKATAA MILIONI MIA TANO ZA LOWASSA MAZITO YAIBUKA>>>DIAMOND PLATNUMZ AKATAA MILIONI MIA TANO ZA LOWASSA Reviewed by Unknown on 1:35:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.