MAPYA YAIBUKA..!!! UJAUZITO WA AUNTY EZEKIEL NI YA MCHEZA SHOW WA DIAMOND PLATNUMZ

Kwa miaka ya nyuma uliwahi kusikia kwamba Msanii wa bongo movie Aunty Ezekiel aliwahi kulala na Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz sasa kwa taarifa zilizopo ni kwamba ndie mmiliki wa mimba ya Aunty Ezekie, Mose Iyobo

Kupitia instagrm ya Mose Iyobo alipost picha hii hapa chini na kuandika hivi
MAPYA YAIBUKA..!!! UJAUZITO WA AUNTY EZEKIEL NI YA MCHEZA SHOW WA DIAMOND PLATNUMZ MAPYA YAIBUKA..!!! UJAUZITO WA AUNTY EZEKIEL NI YA MCHEZA SHOW WA DIAMOND PLATNUMZ Reviewed by Unknown on 9:56:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.