KUTANA NA MFALME WA SELFIE BONGO>>>MTAZAME HAPA ,JE NI KWELI???







‘Selfie’ ni aina ya picha ambazo watu hujipiga wenyewe kwa kutumia camera za simu zao au digital camera na mara nyingi huwa ni kwaajili ya ku-share kwenye mitandao ya kijamii.

Leo katika pitiapitia za kurasa za waigizaji wa hapa bongo, nimebaini kuwa mwigizaji Manaiki Sanga ndie msanii ambae amepiga selfies kali zaidi, hapa nazungumzia zile zinazo jumuisha watu zaidi ya mmoja.

Kama unam-follow makali huyu kwenye mtandao wa instagram, utakubaliana na mimi kuwa jamaa anapenda sana mtindo huu wa picha,kwani amepiga picha za aina hiyo zaidi ya kumi akiwa na mastaa mbalimbali wa hapa bongo wakiwa katika mazingira tofauti tofauti.

Kiukweli anazipatia,na huyu ndio mkali wangu wa Selfies hapa Bongo kwa upande wa waigizaji.

Jionee baadhi ya selfies za jamaa huyu hapo juu.

Mzee wa Ubuyu.
KUTANA NA MFALME WA SELFIE BONGO>>>MTAZAME HAPA ,JE NI KWELI??? KUTANA NA MFALME WA SELFIE BONGO>>>MTAZAME HAPA ,JE NI KWELI??? Reviewed by Unknown on 5:23:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.