Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema katika mila za Kiafrika, posa haikataliwi, inatolewa na kisha inajadiliwa kwa hiyo kama Manaiki kajipanga, apeleke posa ikajadiliwe na wazee wake.
“Nimesikia habari za Manaiki kutaka kuniposa nikacheka sana kwa sababu yeye kama yupo tayari apeleke posa itapokelewa kwani siku zote vigezo na masharti huzingatiwa, afuate utaratibu tu,” alisema Wolper.
JACKLINE WOLPER AKUBALI KUPOSWA , ILA MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA
Reviewed by Unknown
on
2:35:00 AM
Rating: