INASIKITISHA==>>WATOTO WAWILI WATEKETEA KWA MOTO KIJIJI CHA MBELA, MWANZA

Muonekano wa nyumba baada ya kibatari kulipuka na kupelekea watoto wawili wa familia moja kufaliki dunia wakiwa ndani ya nyumba hiyo leo kijiji cha Mbela Wilayani, Misungwi mkoa wa Mwanza.
Mmoja ya watoto hao baada ya kuteketea kwa moto.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
Mtoto akifunikwa na kanga baada ya kupoteza maisha.
Wananchi wakiwa katika hali ya huzuni mmoja wao wa pili kutoka kulia mbele akiwa amembeba mtoto aliyejeruhiwa na moto huo.
...Wakiendelea kushangaa katika eneo la tukio.
INASIKITISHA==>>WATOTO WAWILI WATEKETEA KWA MOTO KIJIJI CHA MBELA, MWANZA INASIKITISHA==>>WATOTO WAWILI WATEKETEA KWA MOTO KIJIJI CHA MBELA, MWANZA Reviewed by Unknown on 10:05:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.