DIAMOND NA ALIKIBA KUPANDISHWA JUKWAA MOJA MWEZI HUU!!


Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo imetangaza kuandaa tamasha kubwa kabisa la muziki la aina yake lijulikanalo kama “Kiboko Yao” litakalofanyika Januari 24, mwaka huu Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni.

Akiongea leo katika mkutano wake na waandishi wa habari Meneja wa Chapa wa Tigo William Mpinga, amesema tamasha hilo litatumbuizwa na wasanii 18 wakali, linaenda sambamba na kutambulisha huduma mpya ya tiGO Music itakayowaletea wateja wao burudani ya muziki kupitia simu zao.
DIAMOND NA ALIKIBA KUPANDISHWA JUKWAA MOJA MWEZI HUU!! DIAMOND NA ALIKIBA KUPANDISHWA JUKWAA MOJA MWEZI HUU!! Reviewed by Unknown on 12:17:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.