SI MCHEZOOOO...HIKI NDICHO KILICHOJIRI KWENYE SHOW YA ZARI NA DIAMOND JANA NCHINI UGANDA...ANGALIA PICHA ZOTE HAPA

Usiku wa kuamkia leo Decemba 19 mjini Kampala ndio ilipokuwa ikifanyika ile party ya Zari AllWhite CirocParty ambapo ilifanyika katika moja ya kumbi za starehe jijini kampala na kwa mujibu wa mmiliki wa hotel hiyo amesema siku ya jana watu walijaa mpaka wengine wakashindwa kuingia, hizi ni baadhi ya picha kutoka huko ambazo mtandao wa sammisago.com umeripoti






SI MCHEZOOOO...HIKI NDICHO KILICHOJIRI KWENYE SHOW YA ZARI NA DIAMOND JANA NCHINI UGANDA...ANGALIA PICHA ZOTE HAPA SI MCHEZOOOO...HIKI NDICHO KILICHOJIRI KWENYE SHOW YA ZARI NA DIAMOND JANA NCHINI UGANDA...ANGALIA PICHA ZOTE HAPA Reviewed by Unknown on 3:14:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.