NI BALAA..ANGALIA PICHA ZA DIAMOND NA ZARI WAKILANA MATE LAIVU BILA YA CHENGA





December 19 mwaka huu ndio ilikuwa ile show ya Zari huko Uganda na mgeni alikuwa Diamond Platnumz ambapo siku hiyo kulikuwa kuna vibwanga vingi kimoja ni hichi cha Zari kupigwa busu live mbele ya kadamnasi ya watu huko Uganda, hapa hakuna swali tena ni wapenzi kitu kimekuwa comfirmed kabisa picha zingine hapa chini enjoy



NI BALAA..ANGALIA PICHA ZA DIAMOND NA ZARI WAKILANA MATE LAIVU BILA YA CHENGA NI BALAA..ANGALIA PICHA ZA DIAMOND NA ZARI WAKILANA MATE LAIVU BILA YA CHENGA Reviewed by Unknown on 1:38:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.