AIBUUUU :Aliyekuwa Mke wa Mbunge Mh. Sugu Faiza Ally Atoa Mpya..Avaa Pampers Siku ya Sikukuu ya Kuzaliwa Kwake na Kutinga Ukumbini




Wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni. Katika hali isiyo ya kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuvaa diapers!!

Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Je ni sawa?
AIBUUUU :Aliyekuwa Mke wa Mbunge Mh. Sugu Faiza Ally Atoa Mpya..Avaa Pampers Siku ya Sikukuu ya Kuzaliwa Kwake na Kutinga Ukumbini AIBUUUU :Aliyekuwa Mke wa Mbunge Mh. Sugu Faiza Ally Atoa Mpya..Avaa Pampers Siku ya Sikukuu ya Kuzaliwa Kwake na Kutinga Ukumbini Reviewed by Unknown on 2:19:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.